Rapper kutoka Chi-Town, Chicago, Kanye Omari West ameidiss ngoma mpya ya Justin Timberlake inayofahamika kama SUIT & TIE katika show yake aliyoifanya jana huko London, UK.
Kanye aliidiss ngoma hiyo ya Timberlake ambayo inafanya vizuri kwa sasa akiwa amemshirikisha mtu wake wa karibu, rapper Jay-Z katika moja ya mistari yake as he was performing live kwa kusema, "Remind me again who's the original superfly?? And I got love for Hov, but am not fucking with that "Suit & Tie"..."
KANYE WEST ADISS NGOMA MPYA YA JUSTIN TIMBERLAKE
Reviewed by Unknown
on
2/24/2013
Rating: 5
No comments
Post a Comment