Header Ads

Breaking News

MKUTANO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI CHADEMA UK...!!

*Mkutano wa viongozi wa uchaguzi viongozi UK utafanyika Jumamosi 09.03.2013 Saa Tisa Mchana .....Ukumbi wa The RE London Shoreditch Kutakuwa na Uchaguzi wa viongozi mbalimbali,Hotuba kutoka kwa Mh.John Mnyika,Hotuba kutoka kwa wataalamu wa Ajira,Elimu,Sheria na Uhamiaji.

No comments