Header Ads

Breaking News

WANAFUNZI NA PICHA ZA UCHI

Kwa mtindo kama huu wa wanafunzi wengi kujihusisha na mambo ya kupiga picha za utupu na kuziweka kwenye mitandao unadhani darasani anafanya nini mtu kama huyu, harafu matokeo yakitoka vibaya asilimia kubwa wanalilaumu BARAZA LA MITIHANI

No comments