Header Ads

Breaking News

D'BANJ NA KANYE WEST KUNG'ARA NDANI YA MOVIE

Msanii wa hiphop kutokea nigeria Dapo Oyebanj a.k.a D'BANJ na mmarekani ambaye ni bosi wake kwenye lebo anayofanyia kazi kwa sasa KANYE WEST wana shoot movie mpya ambayo bado haijapewa jina lakina jina la movie hiyo litatangazwa hivi karibuna kwenye mtandao wa flick

No comments