Header Ads

Breaking News

BABU SAMBEKE AFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE



Name:  DSC03431.JPG
Views: 0
Size:  7.36 MB

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba ndege  imeanguka 

Name:  DSC03444.JPG
Views: 0
Size:  6.98 MB

ikiwa katika hatua za mwisho za kutua  katika kiwanja cha ndege cha arusha. Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kwa jina la Jamal B S,au maarufu kama Babu Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro. Taarifa zaidi zinasema kuwa  rubani huyo   amefariki  muda  mfupi  baada  ya  ajali  hiyo  kutoke na   mwili  wake  umekimbizwa   hospitali ya Mount Meru ...

Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.

Mungu  ailaze  mahali  pema  roho  ya  marehemu
Name:  DSC03431.JPG
Views: 0
Size:  7.36 MB

No comments