Header Ads

Breaking News

NEW SONG: JAY Z - OPEN LETTER, AAMUA KUWACHANA WALE WOTE WALIOIFANYA SAFARI YAKE YA CUBA KUWA NI ISSUE KUBWA

Baada ya issue ya yeye na mke wake kwenda nchini Cuba kwa anniversary yao kuwa issue ya kitaifa ambayo pia imetokelezea katika headlines duniani kote, Jay Z ameamua ku open-up... na rapa huyu ameingia studio usiku wa jana na kurekodi ngoma hii hapa ambayo ndiyo kwanza imefunguliwa katika makaratasi, OPEN LETTER ndio jina la ngoma na unaweza kuisikiliza hapa. #FAHAMU pia kuwa kazi hii ni mkono wa producer Timberland na Swizz Beats, Sikiliza na pia tuambie maoni yako ni nini

No comments