PICHA: MWANAUME AFUNGA NDOA NA MAITI YA MCHUMBA WAKE HUKO THAILAND
Mwanaume mmoja huko Thailand amechukua uamuzi wa kuoa maiti ya aliyekuwa mchumbawake ili kutimiza ahadi yake ya ndoa kwa mchumba wake. Chadil Deffy mwenye umri wa miaka 28 pamoja na mchumbawake ambaye ni marehemu Sarinya Kamsook mwenye umri wa miaka 29 walitarajia kufunga ndoa mwaka huu lakini kwa bahati mbaya mwanadada Sarinya alipata ajari mbaya ya gari iliyopelekeankifo chake
No comments
Post a Comment