PICHA:MUANGALIE BIBI WA MIAKA 72 AMBAE ANAFANYA MAONESHO YA MAVAZI YA VIJANA (modeling)
Ule usemi unaosema kuwa ng'ombe hazeeki maini leo ndo nimeamini baada ya kumuona bibi huyu mwenye umri wa miaka 72 akifanya shughuli ya maonyesho ya mavazi yaani (modeling) huko CHINA, inasemekana kwamba wamiliki wa maduka makubwa ya fasheni nchini humo badala ya kuwatumia wadada ambao ni warembo na wenye umri mdogo sasa wana watumia wazee mfano wa huyu bibi kwasababu hata wanunuzi pia huvutiwa nao na biashara zao kuwa nzuri
No comments
Post a Comment