Header Ads

Breaking News

WAPENZI WAMECHUKUA HATUA YA KUJINYONGA PAMOJA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

 
mkasa huu wakusikitisha na waainayake uliotokea nchini Congo ..baada ya wapenzi hawa wawili kuamua kuchukua maamuzi kujinyonga kwakujininginiza  kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wamvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..
Baadaya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana
 basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga….
                    Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

No comments