Header Ads

Breaking News

HIVI NDIVYO ILIKUWA LEO OBAMA NA BUSH WALIVYOKUTANA KATIKA UBALOZI WA MAREKANI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.


No comments