Header Ads

Breaking News

MAMA MZAZI WA MSANII ''Z- ANTON'' AFARIKI DUNIA...........

Msanii wa kizazi kipya hapa Tanzania Z-ANTO amefiwa na mama yake mzazi leo mchana july 10, taarifa zilizo tufikia zinasema kuwa mama wa msanii huyu amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya Ini.... ugonjwa uliomsumbua muda mrefu. Msiba utakuwa nyumbani kwao kigamboni jijini dar es salaam na mazishi yatafanyika kesho........ POLE KWA MSIBA Z-ANTO

No comments