Habarari zilizo tufikia hivi punde nikwamba mama mzazi wa msanii wa hiphop hapa nchini PROF JAY amefariki dunia kutokana na ajali ya gali maeneo ya mbezi mwisho wakati akieleke nyumbani.......
MAMA MZAZI WA PROF. JAY AMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI USIKU HUU......
Reviewed by Unknown
on
7/10/2013
Rating: 5
No comments
Post a Comment