Header Ads

Breaking News

PICHA: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WAKATI BIBI BOMBA ILIVYO MTEMBELEA WEMA SEPETU OFISINI KWAKE


Darasa likaanza sasa....
Maswali na majibu nayo yalikuwepo....
Babuu wa Kitaa akifanya yake...
Baada ya kutoa mafunzo Wema alitoa nafasi kwa baadhi ya Mabibi kuonesha uwezo wao kwakile walichojifunza... Pichani ni Bibi akionesha uwezo wake kwakucheza kama Boss wake Wema na Wema akicheza kama mwajiriwa wake...
Bibi mwenye nguo ya rangi ya zambarau alioneshesha uwezo wake alipoambiwa amwage chozi baada ya kupewa taarifa kutoka kwa mfanyakazi wake wa ndani kuwa amemuona mumewe akiwa Bar na mwanamke mwingine.... LOL!_
Picha ya pamoja....

No comments