Header Ads

Breaking News

PICHA: MIUNDOMBINU ILIYOGEUKA KIVUTIO KWA WATU....



Hii ni barabara maarufu "Stelvio Pass" yenye mikunjo yenye inayovutia watu mbalimbali lakini hatarishi kwa madereva wasio makini. Ipo Italia karibu na mpaka wa Uswisi.......


Daraja la Qingdao Haiwan lililopo China ni mojawapo ya vivutio duniani. Lina urefu wa jumla ya kilomita 41.58 na ndilo daraja refu kuliko yote duniani!

Ziwa la Waridi (Pink Lake) ni ziwa la maji chumvi lenye maji yenye rangi ya Waridi (Pink) lililopo mkoa wa Goldfields-Esperance magharibi mwa Australia. Ziwa hili hubadilika rangi baada ya bakteria kukumbana na chumvi toka majini...

No comments