Header Ads

Breaking News

UJIO MPYA WA SAUTI SOUL BAADA YA KUFUNGIWA VIDEO YAO

                           sauti-sol-nishike-music-video   
 Baada ya kufungiwa video ya wimbo wao wa Nishike kundi la Sauti Sol kutoka 254 Kenya wameamua kuibuka tena na kujiandaa kwa ujio wa singo yao mpya waliyoipa jina la ‘Sura

Yako’ ambayo inatarijiwa kuachiwa hivi karibuni.
Hii itakua tofauti na mtindo wao wa kawaida uliozoeleka kwa singo zao kadhaa kwani singo ya Sura yako imetengenezwa kwa staili ya lingala na chakacha.
Sura Yako ni singo kutoka kwenye albam yao ya Live And Die in Africa ambayo inasimulia hisia za mapenzi kwa mpenzi ambaye kulingana na taswira wanayochora kwenye mashairi ni mrembo haswa.        
              
   


No comments