NUH MZIWANDA ATEMANA NA SHILOLE (shishi beiby).. SIKILIZA HAPA
Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada ya kukuta meseji kwenye sim ya shilole iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar" baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele
yake kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi nipo nae asiongee chochote.
Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa shilole.
msikilize hapa akiongea na Gossip Cop
SOURCE: DJ FETTY BLOG
No comments
Post a Comment