Naomba mnishauri jinsi ya kufanikisha kumtoa bikra mpenzi wangu bila maumivu
tunashindwa kuendelea , miaka miwili sasa imepita tukijaribu anaumia sana na mie namuonea huruma akishaanza kulia tu natoa nisije muumiza...Mimi naamini mapenzi ni raha na si kuumizana so sitaki kumuumiza wangu wa maisha ...Sasa naombeni kama kuna mtu anajua njia raisi ya kutoa bikira ambayo mpenzi wangu hata umia hata kidogo.....
No comments
Post a Comment