\Pole na majukumu uliyonayo ya kutoa elimu, nimepata kusoma blog yakokwa muda mrefu na kugundua tatizo langu nililonalo linaweza kupatiwa ufumbuzi.Mimi ni kijana wa miaka 21 hapo nyuma nilikuwa na mahusuano msichana mmoja kwa sasa siko nae, ameniacha kufatana na tatizo langu kuwa hapati raha ya kufanya mapenzi na mimi.Tulipendana kwa dhati mpaka tukafikiahatua ya kutambulishana kwa ndugu na jamaa. Uhusiano wetu huo ulikuwawa mwaka mmoja na nusu hatujawahi kukutana kimwili.Juzi kati nilikuwa nimezidiwa nilimuomba mwenzangu kwa kumbembeleza na akukubali kufanya mapenzi.Tuliandaana vya kutosha na kila mmoja akiwa tayari kwa shughuli lakini cha ajabu ile naingiza Uume kuanza kusukuma(tako moja a.k.a one bata) tayari nimeshamwaga na kuchukua muda mrefu Uume kusimama.Siku ya kwanza nilijihisi vibaya sana nikajua labda kanifanyia kitu lakini tatizo limekuwa likiendelea kwani tumefanya mpenzi zaidi ya mara nne, tatizo ni hilohilo la tako moja napizi na kitu kulegea kwa muda mrefu. Naomba ushauri wa tatizo langu au nikukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Reviewed by Unknown
on
12/30/2014
Rating: 5
No comments
Post a Comment