Video: Hii ndio dunia ya Floyd Mayweather Jr!
Mayweather huwa anavaa pea ya viatu mara moja tu
Husafiri na wenzake kwenye ndege yake binafsi daraja la kwanza kwa kufuata ratiba za ndege za kawaida
Waswahili hunena, “Maskini akipata matako hulia mbwata”.
No comments
Post a Comment