Jamhuri Kiwelu ‘JULIO’ atua Coastal Union
Kocha
Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu “Julio”kulia akisisitiza
jambo mazoezini jana mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha
timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James
Nandwa, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union, Albert Peter,
Katibu Mkuu Coastal Union, Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union
Akida Machai.
Kocha
Msaidizi wa Coastal Union , Jamhuri Kiwelu “Julio”akizungumza na
viongozi wa Coastal Union mara baada ya kuwasili mazoezini jana. (Picha
kwa Hisani ya Coastal Union).
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Coastal Union.
No comments
Post a Comment