Khadija Kopa na Wana TOT ndani ya majonzi mazito
Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba.
Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba huku Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye akimfariji.
Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba.
No comments
Post a Comment