Mwanamuziki Bob Junior na madansa wake wakitoa burudani kwa mashabiki waliofurika katika ufukwe wa Coco jijini Dar kusherehekea Sikukuu ya Pasaka jana. Shoo hiyo ilidhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania.
Mashabiki wakifuatilia burudani katika ufukwe wa Coco jijini Dar.
Ma DJ wakiwa kazini kuwapa raha mashabiki.
Vijana wa Bob Junior wakizidi kulishambulia jukwaa.
Mwanadada Shilole 'Shishi Baby' akionyesha mbwembwe zake stejini sambamba na madansa wake.
Mashabiki wakionekana kukolea na shoo ya Shishi Baby.
Burudani zikiwa zimepamba moto.
Madansa wa Shilole wakicheza na shabiki aliyepanda stejini.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.
(PICHA NA ZONG29MAZING)
VODACOM YANOGESHA SHOO YA PASAKA COCO BEACH NI BALAAAAAAA
Reviewed by Unknown
on
4/06/2015
Rating: 5
No comments
Post a Comment