Raia mmoja wa Uingereza akamatwa akifanya mapenzi na Ambulensi.. hii
ni Baada ya ya Bwana Callum Ward mwenye umri wa miaka 25 kujipasha
mtotisha kwa kula njugu karanga. Baada ya kepelekwa mahakamani bwana
Callum Ward atozwa faini ya Pauni 60(£60) na kepwa adhabu ya kufanya
kazi katika eneo la umma bure kwa miezi sita.
Na huko Scotland sikitambo sana bwana mmoja
alikamatwa uchochoroni akifanya mapenzi na baiskeli yake. Hata hivyo
magazeri ya Uingereza likiwemo gazeti la Telegraph hayakueleza alikuwa
akifanya mapenzi vipi na baiskeli hiyo
Afanya mapenzi na Ambulensi
Reviewed by Unknown
on
2/24/2013
Rating: 5
No comments
Post a Comment