Kibao ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni kibao 'How Much is
that Doggie in the Window' cha Mwanamuziki Patti Page kilichokuwa
maarufu miaka ya 50.
Wataalam wanasema huu ni ugonjwa ujulikanao kama
Tinnitus- Ugonjwa unaosababisha muziki au sauti uliyosikia utotoni
ikijicheza akilini.
Bi Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki kucheza kwenye bongo lake kwa miaka mitatu mfululizo.
Reviewed by Unknown
on
2/24/2013
Rating: 5
No comments
Post a Comment