Header Ads

Breaking News

RIHANNA, KATE MOSS NDANI YA PHOTO SHOOT YA JARIDA LA ''V''..


Mwanamitindo kutokea Uingereza, maarufu kama Kate Moss pamoja na mwanamuziki nyota kutoka Marekani, Rihanna wamekuwa ni miongoni ya watu waliochaguliwa kufanya kupiga picha kwa ajili ya Jarida maarufu nchini Marekani linalojulikana kama ''V''.

No comments