Header Ads

Breaking News

BOBBY BROWN AHUKUMIWA SIKU 55 JELA KWA KUENDESHA GARI AKIWA AMELEWA


Bobby Brown amehukumiwa kifungo cha siku 55 jela kufuatia kukamatwa kwake hivi karibuni kwa 

kuendesha akiwa amelewa.Brown alikamatwa october baada ya polisi kusimamisha gari lake

 baada ya kumuona akiendesha huku akiyumba yumba, pamoja na gari lake kunuka pombe

Bobby alishawahi kushtakiwa kwa kuendesha akiwa amewaka (driving under influence), kuendesha na 

leseni yenye msala ambayo hakutakiwa kuitumia ( leseni ya Brown alisimamishwa baada ya  kukamatwa

 na kosa kama hili mwaka 2012) na alishawahi kukamwa na kosa hili pia mwaka 1996.

 

safari hii ameshindwa kufurukuta kwa shtaka hilo na kuhukumiwa kwenda jela, miaka 4 ya 

probation na kuamriwa kumaliza miezi 18 ya program ya alcohol 

Bobby anatakiwa kujipeleka mwenyewe jela ikifika march 20 mwaka huu

No comments