Header Ads

Breaking News

VAZI LA TAIFA LIMEISHIA WAPI??????


Sasa imebaki maswali yasiyo na majibu vichwani mwa watanzania wengi kuhusu mchakato mzima wa vazi la taifa, wazo hilo mpaka sasa linamuda mrefu na siku nazo zinazidi kwenda pasipo kuwa na majibu ya uhakika kuhusu vazi hilo je? imeshindikana ama vipi.




Watu wengi walionekana kutokubaliana na wazo hilo japo lilikuwa ni zuli kwavile lingefanikiwa basi tungekuwa nasisi kama tanzania tunajivunia utamburisho wetu kupitia vazi.

No comments