Header Ads

Breaking News

PICHA ZA KANISA LA ARUSHA LILILOSHAMBULIWA NA BOMU


Taarifa zilizopo nikwamba tukio hilo la mlipuko wa bomu lilitokea majira ya asubuhi katika uzinduzi wa  kanisa katoliki parokia mpya ya Olasiti huko jijini Arusha.
Bomu hilo limelipuka wakati waumini wa kanisa hilo wakiendelea na shughuli za uzinduzi wa kanisa lao,mpaka sasa bado haijafahamika idadi kamili ya majeruhiwa lakini taarifa zinasema kwamba baadhi ya watu wamejeruhiwa na kuwahishwa hospitali kwa ajili ya matibabu






No comments