Header Ads

Breaking News

SIKILIZA ALICHOSEMA RUGE MUTAHABA KUHUSU UGOMVI WAO NA J'DEE.... NA PIA SOMA ALICHOJIBU J'DEE KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII


Hii ni inteview aliyofanya bw.RUGE leo asubuhi




                                                     HIVI NDIVYO ALIVYOJIBU JAY DEE


kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii Jide amefunguka kwa mara nyingine kwa kuandika haya ... "Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake... Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender".

No comments