CHID BENZ NA HABIDA NDANI YA TRACK MOJA SOOON....!!!!!!!!
Msanii
wa muziki wa nchini Tanzania, Chidi Beenz ama Chuma kama
anavyotambulika na wengi sasa, yupo katika mchongo wa kufanyakazi ya
pamoja na mwanadada Habida kutoka Kenya, ingawa kwa sasa bado
ni mapema kusema ni kazi gani na itafanyika wapi?
ni mapema kusema ni kazi gani na itafanyika wapi?
Chidi
Benz pamoja na Habida wamekuwa na mazungumzo kwa njia ya mtandao
kuonyesha kuwa mambo kadhaa yakikaa sawa watakutana na kumaliza kile
walichoadhimia kufanya, na hii ni kwa ajili ya wapenzi wa muziki
ndani na nje ya Afrika Mashariki.
Kutokana
na tip hii, mitaa yote ipo tayari inasubiria kuona kitakachofanyika
wakati wakali hawa wawili watakapokutanisha ujuzi wao na kufanya kitu
cha pamoja.
No comments
Post a Comment