Header Ads

Breaking News

LIL SNUPE MSANII WA MEEK MILL AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI


Rapper LIL SNUPE ambae hivi karibuni alikuwa amesainiwa na na label ya MEEK MILL, DREAMCHASERS afariki dunia … Inasemekana chanzo cha kifo hicho ni kupigwa risasi …
Lil Snupe aliyefariki akiwa na miaka 18 alisherehekea miaka yake ya kuzaliwa siku 7 zilizopita na alikuwa ameshaachia mixtape yake ya kwanza akiwa chini ya DREAMCHASERS inayojulikana kama R.N.I.C …

No comments