WAANDISHI WA HABARI WAPIGA KAMBI HOSPITALI ALIYOLAZWA MANDERA WAKISUBIRI LOLOTE LAWEZA KUTOKEA - MADIBA HALI TETE
Rais mstaafu wa Afrika Kusini NELSON MANDERA bado anahali mbaya ingawa bado madaktari yana pigania uhai wake baada ya afya yake kuzorota mwishoni mwa wiki......Richa ya hivyo imeonekana kuwa watu wamepoteza matumaini na kujiandaa kwa loloye ambolo linaweza kutokea mda wowote.
CLICK LINK PICHA ZAIDI.....
No comments
Post a Comment