Msanii kutokea nigeria Iyanya alitumia ukurasa wake wa instagram kutoa ujumbe huu "TUACHE
KUONGEA ACHA TUTOE NYIMBO ZAIDI,ACHA TUWABURUDISHE MASHABIKI WETU, TUACHE CHUKI MAOMBI YANGU NDO HAYO" ambao moja kwa moja ulionekana kuwalenga DAVIDO na WIZKID kwa mujibu wa mashabiki...
No comments
Post a Comment