Ajali mbaya iliyo husisha Basi la abiria MOROBEST linalofanya safari zake kutokea Mpwapwa mkoani Dodoma kwenda Dar es salaam na gari kubwa ya mizigo imetokea asubuhi ya leo 30 july kijiji cha Pandambili ambapo magari hayo yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu 15 na majeruhi 58..
No comments
Post a Comment