AJABU!!. AJITENGENEZEA JENEZA ILI AKIFA AZIKWENALO...
Bibi mmoja mkazi wa kijiji cha Lundusi kata ya Peramiho Wilayani Songea mkoa wa Ruvuma anaejulikana kwa jina la bi Scholastica Mhagama amesema kuwa ameishi maisha ya kunyanyasika na kuteswa na watu wa jamii anayoishinao sababu iliyomfanya kumuomba Mungu amchukue ili azikwe kwenye
jeneza alilojiandalia.
Bibi huyo amesema aliweza kutengeneza jeneza hilo baada ya kupewa msaada wa sh. 40,000 na mfadhili mmoja.
No comments
Post a Comment