Mwanamuziki Beyonce ameshea picha zake akiwa pembeni ya private jet, mashabiki wengi wamevutiwa nazo na wengi wameonekana kumshangaa maeneo ya kwenye kiuno chake ambacho kinavutia, hadi wengine kudiriki kusema kuwa ni picha za kuedit (photoshop)
PHOTO: KWELI BEYONCE NI DIVA, ANGALIA PICHA ZAKE MPYA ALIZOSHEA
Reviewed by Unknown
on
8/03/2014
Rating: 5
No comments
Post a Comment