Header Ads

Breaking News

BABA AMWALIKA CHAKULA CHA USIKU MBAKAJI WA MWANAYE KISHA KUMKATA NYETI

Torture Tools
Hakuna mzazi anayependezwa na kitendo cha mtoto wake kufanyiwa kitendo cha kinyama ama ukatili wa namna yoyote, huenda ndiyo sababu iliyomfanya mzazi huyu kuchukua maamuzi magumu ya kurudishia unyama aliofanyiwa mwanaye wa miaka 14.

Baba mmoja India, amemuua mtu mmoja baada ya kubaini kuwa alimbaka mwanaye kipindi baba huyo akiwa safarini.

Hilo limetokea India, ambapo imesemekana baada ya kubaini kuwa mwanaye alifanyiwa hivyo na jamaa huyo, aliamua kumualika chakula cha usiku ili waweze kukaa kujadili suala hilo, ambapo baada ya kufika alimfunga kwenye kiti na kumtesa kwa kumbana na koleo iliyounguzwa katika sehemu zake za siri mpaka jamaa huyo kufariki.
Baba huyo amesema alikuwa anaumizwa na kitendo cha kumuona jamaa huyo akienjoy na familia yake baada ya kumfayia kitendo cha kinyama binti yake, hivyo akaamua kulipiza kisasi japo haikuwa dhamira yake kumuua jamaa huyo.

No comments