Header Ads

Breaking News

Rais Kikwete azungumza na wazee wa mkoa wa Dodoma

k3
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

k4
k2
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014  tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya maendeleo.
k5
Wimbo wa Taifa.
k7
Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
k10
Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
k13
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
k8
Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
k9
k11
 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
k12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.(Picha na IKULU)

No comments