Header Ads

Breaking News

Rais Kagame ahudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati jijini Dar es salaam

a2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza juzi na kumalizika jana Machi 26, 2015
.
a5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza juzi na kumalizika jana Machi 26, 2015.
a19
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza juzi na kumalizika jana Machi 26, 2015.
a20
a23
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza juzi na kumalizika jana Machi 26, 2015.
a24
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja  katika bandari ya Dar es salaam jana Machi 26, 2015.
a25
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo walipotembelea  bandari ya Dar es salaam jana Machi 26, 2015.
a26
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa bandari ya Dar es Salaam walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja  katika bandari ya Dar es salaam jana Machi 26, 2015.
a27
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo walipotembelea  bandari ya Dar es salaam jana Machi 26, 2015.
a30
a31
a35
Rais Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa kwa safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya Dar es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Machi 26, 2015.(Picha zephania kapaya)

No comments