TAZAMA VIDEO YA MITI YENYE MATUNDA YA MAUMBILE YA MWANADAMU NA MENGINE MAUMBO YA WANYAMA.
Mtu wangu ninakila sababu ya kukujuza kile kinacho kutatiza na kile ambacho ukifahamu basi niwajibu wangu kukujuza ili upate kufahamu maajabu amboyo mungu ameyafanya katika hii dunia,
ndio maana kila panapo itwa leo sichoki kumuomba.Tazama video yenye miti mbalimbali yenye matunda ambayo yanamaumbo ya binadamu na maua yenye maumbile ya wanyama.
No comments
Post a Comment