Header Ads

Breaking News

Diamond kwa mara nyingine tena aacha vichwa hoi wasanii wa nigeria kwa nyimbo yake ya NANA kupigiwa promo na radio za nchi hiyo.





Msanii wa Bongo Fleva anaye hit na ngoma yake ya NANA, Diamond Platnumz yupo Nigeriakwenye ziara aliyo iita #NanaMediaTour kwa kusudio la kuzungusha nyimbo hiyo kwenye vyombo vya habari  vyombo vya habari vyaNigeria kwaajili ya kutangaza ngoma yake ya NaNa aliyo mshirikisha Mr Fleva msanii wa nchini humo.


Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa kwenye vituo ciwili vikibwa vya radio nchini humo, Kituo cha Naija FM na The Beet FM.





No comments