Lowassa aahidi kufufua Viwanda Morogoro, amsifu Kikwete
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiongea na wakazi wa Morogro Juni 29, 2015. KatiViwanja vya CCM Mkoa Morogoro,Mh. Lowassa amehitimisha zoezi hilo la kutafura Wadhamini, leo Juni 29, 2015 katika Mkoa wa
Mzee Steven Mashishanga akiyarudi magoma kabla ya kupanda jukwaani kuzungumza machache na kuwasalimia WanaCCM wa Mkoa wa Morogoro.
Dkt. Juma Ngasongwa akitoa neno
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kanali Mstaafu Isack Mwisongo akizungumza jambo na kutoa historia kidgo ya Chama cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Innocent Kalageris akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Kulwa Mironge
No comments
Post a Comment