HATIMAYE Aliyekuwa MKE wa Mbunge Sugu Faiza Ally Apata Mtoto Mwingine
Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka maneno ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuandika>>>”ALHAMDULILLAH 🙏🏽 @lijunior_well come to the world baby 👶
No comments
Post a Comment