Header Ads

Breaking News

MABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpaqmbano wao wa kesho jumamosi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Picha na ZEPHANIA J.KAPAYA.

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipozi kigagwe na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya juni 6 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na ZEPHANIA J KAPAYA.
 Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Said Mundi wa Tanga kushoto ni mratibu wa mpambano uho Antony Rutta Picha na SUPER JOURNALIST NEWS.
Bondia Said Mundi wa Tanga akipima uzito kwa ajili ya mpambano weke na Vicent Mbilinyi kushoto ni Anton Rutta Picha na SUPER  JOURNALIST  NEWS.

No comments