MSAFARA WA KINANA KUELEKEA KAGERA WAWA KIVUTIO KATIKA MIJI MBALIMBALI ULIMOPITIA
Basi maalum lililombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Msafara wake likipita katika maeneo ya mizani Vigwaza mkoani Pwani, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameondoka leo kwa basi kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ya Kagera, Geita na Mwanza ambapo ataianza ziara yake katika mkoa wa Kagera , baadae Geita na kisha kumalizia na Mwanza.
Basi maalum lililombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye basi mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro kwa ajili ya kusalimiana na wananchi.

No comments
Post a Comment