JAMANI CHIDI BENZIII ANASOTA NA JELA
Tanzania bwana, basi hapo polisi watampelekesha Chidi weeeee, huku the real culprits wanakula bata tu…Jamani Chidi is a victim of unga. Amekutwa na unga una dhamani ya tsh 38,000, which means ulikuwa ni unga wa personal use sio wa kumuuzia mtu.
Sasa huyu ni victim ana anahitaji msaada na sio kufanywa kama jambazi… Yani bongo hopeless sana. Badala wa deal na chanzo eti wanadeal na kina Chidi…
Ingea pande hizi huyo kwanza angepewa dili kwamba ataje nani kamuuzia then yeye apewe kiji probation, especially coz ni kosa la kwanza…..
Ila bongo hawana hata time ya kumpa Chidi dili kama hili ili awape source ya hayo madawa wao busy tu kudili na Chidi na wakati mtu ni mtumiaji… Anatakiwa kusaidiwa apone aachane nayo na awataje wanaomuuziaga ili yeye aachiwe huru……..
Ndio kusnitch sio poa ila kuliko ufungwe si bora u snitch tu…..Huku mtu akiona anaenda jela ana snitch fastaaa tu….
Pole Chidi ,tuko pamoja,ukitoka please nenda RAY C FOUNDATION usaidiwe upone……..
Ila kakangu huyu nae jamani sijui ndo alikuwa high akasahau anaenda panda ndege na sio basi, akasahau zile security za airport…..
No comments
Post a Comment